UZINDUZI WA “UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS”: JIFUNZE KUTUMIA AI KUFANYA KAZI KWA HARAKA NA KWA UFANISI
Jifunze AI. Itumie. Ongeza Uwezo Wako. Dunia ya Digital Marketing inabadilika kwa kasi. Kazi ambazo zamani zilihitaji muda mwingi, watu wengi na gharama kubwa sasa zinaweza kusaidiwa na Artificial Intelligence (AI). Lakini kuna changamoto moja: kujua kwamba AI ipo si sawa na kujua kuitumia. Ndiyo maana 2AZ Marketing Solutions imeandaa mpango maalum wa “UJUZI WA…
