Hatimaye PayPal Sasa Inapatikana Kupitia Voda Visa Card Tanzania: Fursa Mpya kwa Wajasiriamali wa Kidijitali
Kwa miaka mingi, kupata huduma za PayPal imekuwa changamoto kwa Watanzania wengi, hasa kwa freelancers), wajasiriamali wa mtandaoni, wataalamu wa masoko ya kidijitali, na wanunuzi wa mtandaoni wanaotegemea mifumo ya malipo ya kimataifa. Ingawa PayPal ni mojawapo ya majukwaa makubwa na maarufu zaidi ya malipo mtandaoni duniani, upatikanaji mdogo wa njia za malipo umefanya iwe…
