| | |

πŸŽ‰ 2AZ MARKETING SOLUTIONS YAADHIMISHA MAFANIKIO YA AI KWA OFFER MAALUMU!

Pata Video ya Tangazo la Biashara BURE KABISA!

Tunayo furaha kushiriki nawe hatua nyingine muhimu ya kitaaluma ya 2Az Marketing Solutions!

Mwanzilishi wetu, Athumani Haruna Mbonde, ametunukiwa Cheti cha Artificial Intelligence (AI) na Ruaha Catholic University (RUCU) baada ya kukamilisha mafunzo ya Artificial Intelligence (AI) for Streamlining Tasks and Driving Revenue, yaliyofanyika kuanzia tarehe 28 Septemba hadi 7 Oktoba 2026.

Mafunzo haya yalihusisha misingi ya AI, Generative AI, Chatbots, matumizi ya AI katika biashara, zana za kuhakiki taarifa, pamoja na maadili na usalama katika matumizi ya AI.

Katika kuadhimisha mafanikio haya, 2Az Marketing Solutions inatoa OFFER MAALUMU kwa watu 5 wa kwanza tu!

🎁 UTAPATIWA VIDEO YA TANGAZO LA BIASHARA BURE KABISA!

Video hii itakusaidia kuitangaza biashara yako kwa njia ya kisasa na kuvutia wateja kupitia mitandao ya kijamii.

⏰ Muda wa Offer: Saa 12 pekee kutoka sasa!

  1. Jaza fomu iliyo hapa chini.
  2. Tuma maombi yako ya kupata Video Offer.
  3. Subiri uthibitisho kutoka kwa timu ya 2Az Marketing Solutions.

Usikose nafasi hii! Nafasi ni 5 tu kwa watakaoomba huduma ndani ya muda uliowekwa.

πŸ‘‰ Tembelea 2azmarketing.com na uchukue hatua sasa.

2Az Marketing Solutions β€” Marketing from A to Z for Real Results.

Twende pamoja kukuza biashara yako kwa ubunifu na teknolojia ya AI!

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *