UZINDUZI WA “UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS”: JIFUNZE KUTUMIA AI KUFANYA KAZI KWA HARAKA NA KWA UFANISI

Jifunze AI. Itumie. Ongeza Uwezo Wako.

Dunia ya Digital Marketing inabadilika kwa kasi. Kazi ambazo zamani zilihitaji muda mwingi, watu wengi na gharama kubwa sasa zinaweza kusaidiwa na Artificial Intelligence (AI).

Lakini kuna changamoto moja: kujua kwamba AI ipo si sawa na kujua kuitumia.

Ndiyo maana 2AZ Marketing Solutions imeandaa mpango maalum wa “UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS”. Mpango huu unalenga kukusaidia kutoka kwenye hatua ya kusikia kuhusu AI hadi kwenye hatua ya kuitumia katika kazi halisi.

Na safari hii inaanza rasmi kupitia Uzinduzi Maalum wa “UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS.”

Je, upo tayari kujiunga na UZINDUZI WA UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS” leo?

UZINDUZI MAALUM WA “UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS”

Huu ni mkutano maalum wa utambulisho wa Ujuzi wa AI unaolenga kuonyesha kwa vitendo namna AI inavyoweza kutumika katika Digital Marketing na kazi mbalimbali za kila siku.

Si tukio la kusikia kuhusu AI pekee.

Ni fursa ya kuiona AI ikifanya kazi.

Washiriki wataona namna AI inaweza kusaidia katika kupata mawazo, kupanga kazi, kutengeneza maudhui, kutengeneza picha na video, kuchambua taarifa na kuboresha namna tunavyofanya Digital Marketing.

Uzinduzi rasmi utafanyika:

📅 Jumapili, 20 Septemba 2026
⏰ Saa 21:00 (Saa 3:00 Usiku)
💻 Kupitia Google Meeting

Uzinduzi huu ni hatua muhimu katika safari ya 2AZ Marketing Solutions ya kuunganisha Digital Marketing na Artificial Intelligence kwa ajili ya kuongeza ujuzi, ubunifu, ufanisi na tija.

Washiriki watapata fursa ya kuona kwa vitendo namna AI inaweza kuwa sehemu ya kazi za Digital Marketing na kusaidia kubadilisha namna tunavyofanya kazi.

NINI UTASHUHUDIA KWENYE UZINDUZI?

Katika tukio hili adhimu la Uzinduzi matukio yafuatayo yatafanyika:

Ufunguzi na Utambulisho

Tutakuwa na Utambulisho wa tukio na kwa nini AI Skills ni muhimu katika mazingira ya sasa.

Introduction to AI

Utapata fursa ya kuelewa AI ni nini, inafanya kazi kwa namna gani kwa mtazamo rahisi, na kwa nini imekuwa muhimu sana.

Demonstration ya Matumizi ya AI

Hii ndiyo sehemu ya kuona AI ikifanya kazi kwa vitendo. Utashuhudia AI jinsi inavyosaidia katika kazi mbalimbali za Digital Marketing.

Utambulisho wa Kitabu

Kitabu chetu kitatambulishwa rasmi kikiwa miongoni mwa bidhaa adhimu ndani ya 2Az Marketing Solutions.

Utambulisho wa Course

Course ya UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS ambayo ni mkakati na mpango kazi rasmi wa kuwasaidia wenye uhitaji wa kuitumia AI katika kazi zao mbalimbali za Digital marketing itatangazwa rasmi.

Je, unahitaji kujiunga na Maarifa na Ujuzi wa AI?

KITABU CHA “UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS

Kitabu cha “UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS” ni kitabu maalum cha maarifa na ujuzi wa namna ya kuitumia teknolijia ya Akili Bandia katika shughuli mbalimbali za Digital Marketing.

Kitabu hiki kimeandaliwa na kuchapishwa rasmi na Wakala wa Masoko Mtandaoni, 2Az Marketing Solutions mnamo mwezi August, 2026. Ni miongoni bidhaa adhimu kwa Ulimwengu kutokana na nyakati hizi za teknolojia zenye harakati na pirika.

Ni kitabu kidogo cha kurasa takriabani 139 zilitungwa kwa mfumo wa sura 5. Lugha iliyotumika katika kitabu hiki ni rahisi na nyepesi kueleweka huku maneno ya kitaalam yakifafanuliwa.

Katika tukio la Uzinduzi wa kitabu na Maarifa haya utapata fursa pia ya kusikia mengi kuhusu kitabu hiki.

Kitabu hiki kimeundwa katika mtindo wa Kitaalam na kiutendaji ambapo kitasaidia msomaji kuweza kuelewa na kutumia alioyasoma kwa vitendo zaidi.

Kwa mfano, kitabu kimeundwa katika mfumo wa;

  • Maarifa ya Akili bandia
  • Kanuni muhimu za kuzingatia wakati wa kuitumia teknolojia ya Akili bandi
  • Mazoezi ya matumizi halisi ya Maarifa AI
  • Maswali ya kupima kilichosmwa
  • Challenge za Masomo na
  • Matumizi halisi ya AI

Nina uhakika ukiapata nafasi ya kukisoma kitabu kwa makini utakuwa na uwezo mkubwa wa kuitumia AI akatika kazi zako mbalimbali za Digital Marketing na kuongeza kasi na ufanisi katika biashara yako.

Kitabu hiki kinauzwa Tsh 8,000/, lakini kwa sasa kinauzwa Tsh 5,000/ kutokana na Offer ya Uzinduzi ambayo itaishia tarehe 19 Septemba, 2026.

Je, unahitaji kitabu cha UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS sasa?

🎓 COURSE YA “UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS”

Course ya UJUZI WA AI DIGITAL MARKETERS ni mkakati maalum wa kutoa mafunzo ya moja kwa moja kupitia mtandao (Google Meeting) yanayolenga kuboresha ujuzi na matumizi ya AI katika Digital Marketing.

Kama kitabu kinakupa msingi wa maarifa, Course inakwenda hatua nyingine kutoka maarifa hadi ujuzi halisi kwa vitendo zaidi.

Katika Course tunataka tujifunze kwa kufanya vitendo zaidi kuliko nadharia.

Moduli za Course

Course imeundwa na jumla ya moduli tano (5) ambazo ni:

  1. MSINGI WA AI KATIKA DIGITAL MARKETING
  2. MTIRIRIKO WA KAZI ZA AI KATIKA UTENGENEZAJI WA MAUDHUI
  3. PROMPT ENGINEERING: KUANDIKA MAELEKEZO BORA KWA AI
  4. AI KATIKA UTAFITI NA MKAKATI WA MASOKO
  5. AI KATIKA ADS, UCHAMBUZI NA UBORESHAJI

Pia kuna vipengele vya ziada vya kuboresha mbinu za Matumizi ya AI katika Digital Marketing. Baadhi ya mbinu za ziada ni pamoja na:

CHALLENGES ZA PAPO HAPO

Katika safari ya kujifunza, kutakuwa na challenges za papo hapo zitakazokupa nafasi ya kutumia ulichofundishwa.

Lengo ni kuondoa hali ya “Nimeelewa” na kuwa katika hali ya kuwa “Ninaweza kufanya”.

Je, unahitaji kujisajili na Course sasa?

OFFER YA COURSE

Kwa wale wanaotaka kwenda zaidi ya uzinduzi na kuingia kwenye safari kamili ya kujifunza, Course ya UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS inapatikana kwa TSh 23,000/:

Pamoja na Course, mshiriki anapata package ya value inayojumuisha:

  • Live Sessions (Vipindi vya Live)
  • Live Practical Sessions (Mazoezi ya Live)
  • Practical Exercises (Mazoezi ya Vitendo)
  • Active Support (Msaada wa Uhakika mda wote)
  • After-Lesson Notes/Handouts (Notes za Kipindi)
  • Course Bonuses (Bonasi)

BONUSES (ZAWADI)

Washiriki wote wa Course watapata bonus zifuatazo kama shukrani kwao ili waboreshe kazi zao za Digital Marketing:

  1. 📘 AI E-book: UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS
  2. 🧠 30 Days Full AI Skills Free Consultations
  3. 🔍 Free Meta Account Auditing
  4. 📕 Free E-book: PayPal kupitia Voda Visa Card
  5. 💬 Free WhatsApp Group Access

Jumla ya thamani ya bonuses: TSh 81,750/.

Je, unataka kulipia Kitabu au Course sasa?

💳 NAMNA YA KUFANYA MALIPO

Kwa anayependa kujiunga na Course:

Airtel Money +255786 909945 (ATHUMANI HARUNA MBONDE)

Baada ya kufanya malipo, tuma screenshot ya malipo kupitia WhatsApp ili kusaidiwa kukamilisha usajili.

USIISHIE KUSIKIA KUHUSU AI — JIFUNZE KUITUMIA

AI si suala la kesho. Ni sehemu ya mazingira ya sasa ya kazi, biashara na Digital Marketing.

Swali muhimu si: “AI inaweza kufanya nini?”

Swali muhimu zaidi ni: “WEWE UNAWEZA KUITUMIA AI KUFANYA NINI?”

Uzinduzi huu ni mwanzo bora kwako.

Kitabu kinakupa maarifa.

Course inakusaidia kujenga ujuzi.

Practical na challenges vinakusaidia kujenga uwezo wa kutumia.

Na mwisho wa safari, lengo ni moja: KUTOKA KUWA MTU ANAYESIKIA KUHUSU AI KUWA DIGITAL MARKETER ANAYEJUA KUITUMIA AI KATIKA KAZI ZAKE.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *