UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS

Tumia AI kwa Ufanisi. Tengeneza Maudhui Bora. Fanya Kazi kwa Haraka. Kuza Biashara Yako.

Je, uko tayari kutumia Artificial Intelligence (AI) kuboresha kazi zako za Digital Marketing na kuongeza ufanisi wa biashara yako?

Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kujua kutumia AI ni muhimu kwa sababu ujuzi huu utaweza kukusaidia kufanya kazi kwa ubunifu zaidi, kuokoa muda na kuboresha namna unavyotekeleza mikakati yako ya masoko.

Kupitia mafunzo ya UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS, utajifunza kutumia AI katika kazi halisi za Digital Marketing kwa mwongozo wa vitendo, mifano na mazoezi yanayokusaidia kuunganisha maarifa na matumizi.

Usiishie kujua AI ni nini. Jifunze kuitumia kufanya kazi zako kwa ufanisi.

Baada ya kushiriki mafunzo na kufanya mazoezi, utakuwa na uelewa na ujuzi wa kutumia AI kusaidia katika:

  • Utengenezaji wa maudhui: Kuandaa mawazo, maandishi na maudhui ya masoko kwa ufanisi zaidi.
  • Ubunifu wa picha na video: Kujifunza mtiririko wa kazi wa kutengeneza maudhui ya kuvutia kwa kutumia zana za AI.
  • Prompt Engineering: Kuandika maelekezo bora ya kuwasiliana na AI ili kupata matokeo yanayokidhi mahitaji yako.
  • Utafiti na mikakati ya masoko: Kutumia AI kusaidia kuelewa soko, hadhira na ushindani.
  • Matangazo ya kidijitali: Kuboresha maandalizi ya matangazo na kutumia AI kusaidia kuchambua ripoti za kampeni.
  • Uratibu wa kazi zako: Kupanga na kutekeleza kazi zako kwa utaratibu unaookoa muda.

Lengo si kutumia AI kwa sababu tu ni teknolojia mpya, bali kuitumia kutatua changamoto halisi za kazi na biashara kwa ufanisi zaidi.

Je, unataka kuwa Mtaalam wa AI ili urahisishe kazi zako na kukuza biashara yako?

Mafunzo haya yameandaliwa kwa ajili ya:

  • Digital Marketers na Social Media Managers.
  • Wabunifu wa maudhui (Content creators).
  • Wajasiriamali na wamiliki wa biashara.
  • Wanafunzi na wanaoanza kujifunza Digital Marketing.
  • Freelancers wanaotaka kuongeza thamani ya huduma zao.
  • Wataalamu wanaotaka kuongeza ujuzi wao wa matumizi ya AI.

Huna uzoefu mkubwa wa AI?

Unaweza kuanza kwa misingi na kujenga ujuzi wako hatua kwa hatua.

Haya si mafunzo ya nadharia pekee. Bali ni mafunzo yaliopangwa ili kukusaidia kuelewa, kuona mifano na kufanya mazoezi.

Mpangilio kamili wa Mafunzo ni kama ifuatavyo:

  • Vipindi 7 vya moja kwa moja (Live Sessions).
  • Vipindi 3 vya mafunzo ya vitendo (Live Practical Sessions).
  • Mazoezi 6 ya vitendo ya kuimarisha ujuzi wako.
  • Msaada kwa saa 24 kama ulivyoainishwa kwenye ofa ya mafunzo.
  • Nyenzo na muhtasari (Notes) wa masomo baada ya vipindi.

Utajifunza kwa kutumia mfumo huu:

JIFUNZE → ONA MFANO → FANYA MAZOEZI → TUMIA KATIKA KAZI HALISI

Mafunzo yote yatakuwa Online kupitia Google Meeting au Zoom Meeting kulingana na makubaliano baina ya mwanafunzi/wanafunzi na mkufunzi.

Lengo ni kukusaidia kuanza kutumia ujuzi unaojifunza katika shughuli zako za Digital Marketing na biashara.

Je, upo tayari kujiunga na mfumo huu imara wa mafunzo ya UJUZI WA AI kwa mafanikio ya biashara yako?

Unapojiunga na Course hii, unapata pia bonasi zifuatazo:

  1. Kitabu pepe: Ujuzi wa AI kwa Digital Marketers, chenye thamani ya TSh 8,000.
  2. Ushauri wa bure kwa siku 30 kuhusu ujuzi wa AI, wenye thamani ya TSh 33,000.
  3. Ukaguzi wa akaunti ya Meta, thamani ya huduma hii ni TSh 15,750.
  4. Kitabu pepe cha mwongozo wa PayPal kupitia Voda Visa Card chenye thamani ya TSh 5,000.
  5. Kitabu pepe cha META PRIVACY & AI SETTINGS 2026 chenye thamani ya 5,000/
  6. Kuunganishwa na kundi la WhatsApp la 2Az Marketing Solutions. Huduma yenye thamani ya TSh 15,000.

Jumla ya thamani iliyotajwa ya bonasi: TSh 81,750.

Bonasi hizi zimekusudiwa kuongeza thamani ya mafunzo na kukusaidia kuendeleza maarifa yako hata baada ya vipindi.

Je, upo tayari kupata ujuzi huu wenye tija na bonasi hizi kibao kwa maendeleo ya biashara yako?

2Az Marketing Solutions inalenga kuwasaidia watu binafsi na wafanyabiashara kutumia maarifa ya Digital Marketing na teknolojia kuboresha utendaji wao.

Mafunzo haya yameandaliwa na Mbonde Athumani H., Mwanzilishi wa 2Az Marketing Solutions, kwa kuzingatia matumizi ya AI katika mazingira halisi ya kazi za masoko na biashara.

Lengo ni kukupa mwongozo unaoeleweka, mifano na nafasi ya kufanya mazoezi ili uanze kujenga uwezo wako kwa hatua.

Je, upo tayari kupata mafunzo yaliyoandaliwa kwa ustadi mkubwa na Mtaalam wa masoko ya kidigitali.

UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS COURSE

Katika Mafunzo haya kuna aina mbili za Mafunzo:

  • GROUP COURSE (MAFUNZO YA PAMOJA)

Utajifunza pamoja na wanafunzi wengine. Mafunzo hutangazwa na kuanza kwa awamu kulingana na ratiba itakayotolewa.

Gharama ya Mafunzo ni 30,000/

Je, unataka kupata taarifa na Ratiba za Mafunzo ya Pamoja?

  • PRIVATE COURSE (MAFUNZO BINAFSI)

Utapata mafunzo binafsi yanayopangwa kwa utaratibu wa makubaliano kati yako na mkufunzi.

Gharama ya Mafunzo ni 50,000/

Katika aina zote mbili za mafunzo utapata vipindi vya mafunzo, mazoezi ya vitendo, nyenzo za masomo na bonasi zilizoorodheshwa hapo juu.

Usiangalie ada pekee; zingatia ujuzi unaoweza kuujenga na namna unavyoweza kuutumia kuboresha kazi zako.

  • Kitabu cha UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS

Kitabu hiki kinapatikana kwa Gharama ya shilingi Elfu Tano (5,000) tu.

Teknolojia inabadilika, na namna tunavyofanya kazi za masoko inaendelea kubadilika pia. Chukua hatua ya kujifunza kutumia AI kwa ufanisi ili uweze kufanya kazi kwa ubunifu zaidi na kujiandaa kwa fursa mpya za kidijitali.

Jiunge na UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS kupitia 2Az Marketing Solutions.

Tembelea: www.2azmarketing.com

2Az Marketing Solutions
“Marketing from A to Z for Real Results”